Nauza dell Cpu/computer min

Askari Muoga

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
6,112
Reaction score
4,663
Nauza dell intel core2 duo.

Processor 2.6ghz.

Hdd 250.

Ram 2gb .

Ni portable CPU tu bei 110,000 maelewano yapo offer ya DSM tu.
 
kama hii na keyboard ya kukunja
 

Attachments

  • des.jpg
    5.7 KB · Views: 305
Nauza dell optiplex 755
ram duo 2gb
hard disk 250
procesor 2.6hz
Dar ea salaam bei 85000
nicheki whatsapp 0798505656
 
nauza dell optiplex 755
ram duo 2gb
hard disk 250
procesor 2.6hz
Dar ea salaam bei 85000
nicheki whatsapp 0798505656

Kwa specs hizo nigekuwa jirani ningeinunua sasa nipo huku madongoporomoka nimeikosa.
 
Nakutafuta kwa namba hiyo sikupati nahisi umeikosea namba kidogo nahutaji mzigo weka nicheki 0628033320 au whasp 0765791233
 
Ninazo CPU HP Compaq HDD 250 GB, 2 core dual 2.8 GHZ na Ram 2 GB kwa 150,000 TZS na IBM CPU 3.2 GHZ, HDD 80 GB na RAM 1 GB kwa 100,000 TZS. Mwenye uhitaji whatsapp yangu 0778080031
 
Ipo dell optiplex 7010 core i3 3.4ghz(4cpu)ram 6gb,hdd 250,dvd writer...bei 380k

Ipo pia Dell precision T7400 Xeon 2.33ghz(8cpu),2gb,hdd 250,graphics card,DVD writer....0655090000
 
Mimi nna CPU 6,zinawaka ila zina kasoro kidogo
Nauza kwa kila moja 50000/ njoo uzinunue zote
Aina ni dell,HP etc.....kama utazirekebisha au kuitumia kwa mahitaji ya spare kazi kwako
0715591141
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…