Entreprenuare
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,616
- 1,737
Nadhani kachanganya kidogo hapo robo itakuwa 2k na nusu 4k.Mkuu nusu ni 2K,robo 4K?
Nadhani kachanganya kidogo hapo robo itakuwa 2k na nusu 4k.
Dagaa wa nyama, sio wanyama!
Duka lako au genge lako lipo sehemu gani..
Naomba msada wako mkuuHabari!
Nauza dagaa wanya, ni wakubwa na wanavimba ukiwapika.
Robo- 2000
Nusu-4000
Kilo 1- 7500
Location: Dsm, Kimara
Contact: 0654171555
View attachment 1517798
View attachment 1517799
View attachment 1517803
Kiswahili kigumu sana.
Dagaa wanyama si sawa na dagaa wa nyama.
Sehemu nyingine kuna dagaa wanya. Kipi ni kipi?
Kiswahili kigumu sana.
Dagaa wanyama si sawa na dagaa wa nyama.
Sehemu nyingine kuna dagaa wanya. Kipi ni kipi?