M Mparee Halisi Senior Member Joined Jan 4, 2014 Posts 104 Reaction score 8 Jun 18, 2016 #1 Toyota Corolla X Mwaka 2001 Km. 150329 Tsh Mil 6 Cc 1496 Engine VVT-I Vibali vyote vipo hai Gari ipo kwenye hali nzuri sana 0655874863
Toyota Corolla X Mwaka 2001 Km. 150329 Tsh Mil 6 Cc 1496 Engine VVT-I Vibali vyote vipo hai Gari ipo kwenye hali nzuri sana 0655874863
Nokla JF-Expert Member Joined Aug 12, 2012 Posts 3,190 Reaction score 1,780 Jun 18, 2016 #2 Mbona chafu sana alafu unasema ipo katika hali nzuri sana, kweli??
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,204 Reaction score 99,941 Jun 18, 2016 #4 Sio mbaya iko vizuri, vibali umelipa? Niko na Carina sijaifanyia usajili bado Ila hio X njoo tuyajenge inbox
Sio mbaya iko vizuri, vibali umelipa? Niko na Carina sijaifanyia usajili bado Ila hio X njoo tuyajenge inbox
M Mparee Halisi Senior Member Joined Jan 4, 2014 Posts 104 Reaction score 8 Jun 19, 2016 Thread starter #5 Vibali vko OK,mpaka mwezi wa tisa,chukua namba zangu tuwasiliane
M Mparee Halisi Senior Member Joined Jan 4, 2014 Posts 104 Reaction score 8 Jun 19, 2016 Thread starter #6 gregsanga said: Njoo uchukue 4.5m Click to expand... Mwisho 5.5
Clarity JF-Expert Member Joined Jul 6, 2010 Posts 1,937 Reaction score 2,837 Jun 19, 2016 #8 Unapatikana wapi
Jenseny JF-Expert Member Joined Jan 26, 2011 Posts 1,743 Reaction score 1,742 Jun 19, 2016 #9 b number? 6 million?
C Christopher Buke Member Joined Jun 8, 2016 Posts 9 Reaction score 0 Jun 19, 2016 #10 Mm ningependa kuangalia nikupate wapi simu yangu 0716636914
Daata JF-Expert Member Joined Dec 24, 2012 Posts 4,748 Reaction score 2,038 Jun 19, 2016 #11 Sio mbaya
gnassingbe JF-Expert Member Joined Jun 14, 2015 Posts 4,826 Reaction score 3,583 Jun 19, 2016 #12 Mparee Halisi said: Mwisho 5.5 Click to expand... Bei iko poa sana mtu wangu ila basi tu mie MAGU! ananigaragaza vibaya sana sina nguvu kabisa lakini nitayafix hamna noma!
Mparee Halisi said: Mwisho 5.5 Click to expand... Bei iko poa sana mtu wangu ila basi tu mie MAGU! ananigaragaza vibaya sana sina nguvu kabisa lakini nitayafix hamna noma!
zaitmemee Senior Member Joined Aug 14, 2015 Posts 186 Reaction score 40 Jun 19, 2016 #13 Bei kubwa sana mkuu, gari ina miaka 15. Wear and tear ya kutosha. Punguza bei offer yangu 4.5mil
Trimmer JF-Expert Member Joined Apr 25, 2014 Posts 2,679 Reaction score 4,551 Jun 19, 2016 #14 Gari nzuri bei nzuri