MIMI NA TZ Senior Member Joined Apr 22, 2014 Posts 197 Reaction score 18 Oct 5, 2014 #1 Nauza corrola "one eleven" namba 'B' ya mwaka 2002 milioni tano tu hapa mwanza mwenye kuhitaji anicheki Kwa 0788752672 MWANZA
Nauza corrola "one eleven" namba 'B' ya mwaka 2002 milioni tano tu hapa mwanza mwenye kuhitaji anicheki Kwa 0788752672 MWANZA
MIMI NA TZ Senior Member Joined Apr 22, 2014 Posts 197 Reaction score 18 Oct 5, 2014 Thread starter #2 Hizi apa Picha za corolla ' one eleven'
mwanza yote yangu Senior Member Joined Aug 28, 2014 Posts 141 Reaction score 30 Oct 6, 2014 #3 Natokea magu nakuja mwanza mjini ntakupigia nahitaji hiyo gari.
MIMI NA TZ Senior Member Joined Apr 22, 2014 Posts 197 Reaction score 18 Oct 6, 2014 Thread starter #4 mwanza yote yangu said: Natokea magu nakuja mwanza mjini ntakupigia nahitaji hiyo gari. Click to expand... Karibu sana ukifika tuwasiliane Kwa 0788752672
mwanza yote yangu said: Natokea magu nakuja mwanza mjini ntakupigia nahitaji hiyo gari. Click to expand... Karibu sana ukifika tuwasiliane Kwa 0788752672
Governor of Bettors-GB JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 11,059 Reaction score 10,519 Oct 6, 2014 #5 Gari nzuri mzee wa Mwanza.
M MR. MORRIS T. J. JF-Expert Member Joined Apr 18, 2013 Posts 1,167 Reaction score 403 Oct 6, 2014 #6 MIMI NA TZ said: Nauza corrola "one eleven" namba 'B' ya mwaka 2002 milioni tano tu hapa mwanza mwenye kuhitaji anicheki Kwa 0788752672 MWANZA Click to expand... Mnakera Msioweka Picha
MIMI NA TZ said: Nauza corrola "one eleven" namba 'B' ya mwaka 2002 milioni tano tu hapa mwanza mwenye kuhitaji anicheki Kwa 0788752672 MWANZA Click to expand... Mnakera Msioweka Picha
M MR. MORRIS T. J. JF-Expert Member Joined Apr 18, 2013 Posts 1,167 Reaction score 403 Oct 6, 2014 #7 MIMI NA TZ said: View attachment 190768 View attachment 190769 Hizi apa Picha za corolla ' one eleven' Click to expand... Picha Za Gizani Za Nini?
MIMI NA TZ said: View attachment 190768 View attachment 190769 Hizi apa Picha za corolla ' one eleven' Click to expand... Picha Za Gizani Za Nini?
Madege JF-Expert Member Joined Dec 8, 2011 Posts 530 Reaction score 111 Oct 6, 2014 #8 mashaka tupu kwanini upige picha gizani? si upige zionekane fresh kabisa kama wengine wanavyofanya.
MIMI NA TZ Senior Member Joined Apr 22, 2014 Posts 197 Reaction score 18 Oct 6, 2014 Thread starter #9 Samahani sana Ndugu zangu humu ndani nikweli nimepiga nyakati za usiku naombeni kesho asubuhi niweke picha za mwangani naombeni sana mnisamehe Kwa hili ila Gari iko safi na ina camera za kiusalama na iko poa kabisa. Naombeni mniunge mkono wandugu
Samahani sana Ndugu zangu humu ndani nikweli nimepiga nyakati za usiku naombeni kesho asubuhi niweke picha za mwangani naombeni sana mnisamehe Kwa hili ila Gari iko safi na ina camera za kiusalama na iko poa kabisa. Naombeni mniunge mkono wandugu