Nauza computer, Tsh 190K, Acer veriton Desktop

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2016
Posts
8,658
Reaction score
15,814
Ofa kwa wana JF!
Jipatie computer ya kisasa kabisa aina ya Acer Veriton.
Komputer ni sawa na mpya. Naiuza kwa kuwa nimeamua kuireplace na laptop...
Spec ni kama zilivooneshwa hapo...

Computer niliinunua lakin nane Cash kwenye duka la Mitsui pale Posta. Ila mie natoa ofa kwa mwana JF kwa Tsh laki moja na tisini elfu cash! Hii ikiwa ni bei ya punguzo la Zaidi ya asilimia mia nne...

Storage ya HDD ni GB 465
Kama unahitaji nichek inbox...


[/ATTACH]
 

Attachments

  • upload_2017-2-5_12-21-19.png
    29.5 KB · Views: 55
Mkuu weka mawasiliano niichukue faster mapema leo
 
Mwenye uhitaji Wa desktop monitor inch 19 dell, speaker zake 2, na keyboard znauzwa 90,000 kwa zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…