Upo Mkoa gani mkuu?Nauza computer hp na kioo cha dell
Sifa za desktop
Ram 4gb
Had disk gb 500
Prosesa coi3
Bei laki tatu na nusu.
View attachment 735181View attachment 735182View attachment 735185
Mkuu, Fanya nipe bei ya magu hiyo bei ulotaja ya jakaya bhana, serious naihitajiAcha utan mkuu gb 500 ndan hiyo coi3
Huku huogopi kupigwa kama alivyotufanya PmHalafu upo wapi
HahahaHuku huogopi kupigwa kama alivyotufanya Pm
Yule mzee niliwahi kumuapiza kuwa kamwe hatofanikiwa, PM anamawazo mazuri sana, lakini akiyachukua mawazo yake akaungana na wenye mitaji wakafanya Kazi atatusua vinginevyo Mola amfanyie wepesiHuku huogopi kupigwa kama alivyotufanya Pm
Kumbe sio mbali, nakuja PMNipo mwenge mkuu
yule mzee Mungu amsamehe tu maana tamaa zimemjaa na mafanikio ukiwa na tamaa sahau zaidi utapata pesa ya kula tu but thanks alitufunzaYule mzee niliwahi kumuapiza kuwa kamwe hatofanikiwa, PM anamawazo mazuri sana, lakini akiyachukua mawazo yake akaungana na wenye mitaji wakafanya Kazi atatusua vinginevyo Mola amfanyie wepesi
Yeah, hilo tushukuru piayule mzee Mungu amsamehe tu maana tamaa zimemjaa na mafanikio ukiwa na tamaa sahau zaidi utapata pesa ya kula tu but thanks alitufunza