Brother Malcom
Senior Member
- Oct 27, 2015
- 123
- 598
Mkoani dozen unatuma ?Nauza bracelets kali na unique kwa bei ya jumla, bei ya dozen (12+) ni elfu moja na mia tano (1,500/=) kwa piece moja.
Wauza bracelets kama mpo interested nitafute kwa namba hii 0714-085617.
Chini naambatanisha baadhi ya picha, styles and designs zipo nyingi sana, karibuni.
View attachment 2470901View attachment 2470915View attachment 2470916View attachment 2470918View attachment 2470917View attachment 2470919View attachment 2470920View attachment 2470921View attachment 2470922View attachment 2470923View attachment 2470932View attachment 2470931View attachment 2470933View attachment 2470935View attachment 2470936View attachment 2470937View attachment 2470938
Ndio mikoani natuma, tena kwa uaminifu kabisa, ukitaka na ushahidi wa bus receipts na parcel nazotumia watu mikoani naweza kukuonesha, KaribuMkoani dozen unatuma ?
Learn to practice what you preachBangili ni kiswahili,
Penda lugha yako
Kwa povu hili utasubiri sana wateja hewa [emoji87]Learn to practice what you preach
unaniambia nipende lugha yangu, wakati wewe binafsi jina unalotumia JF ni DREAM QUEEN, kwanini usingejiita NDOTO MALKIA ambayo ni kwa kiswahili
Bora usinge comment na ungekaa kimya, ingesaidia ku Hide ur foolishness
Sawa mtoa Rizki[emoji4]Kwa povu hili utasubiri sana wateja hewa [emoji87]
hizi bei gani kwa piece ?Karibuni, style na designs zipo za kutoshaView attachment 2471737
Acheni uchawi basi Kwenye biashara za watu. hamna kazi za kufanya ?Kwa povu hili utasubiri sana wateja hewa [emoji87]
Tatizo Jf maleya mekuwa wengiKwa povu hili utasubiri sana wateja hewa [emoji87]
mkuu sijakuelewa hapo ni maleya au mala... ?Tatizo Jf maleya mekuwa wengi
Sijui angekaa kimya angepungukiwa nini.Acheni uchawi basi Kwenye biashara za watu. hamna kazi za kufanya ?
Kwa zenye chuma ni 5,000/= kwa piece, lakini ukichkua piece mbili ni 4,500/= per piecehizi bei gani kwa piece ?
Asante, upo wapi, mkoa gani?, Naweza kukutumia mimi nipo MorogoroZiko poa sana, nazipatajee
Asante[emoji1431][emoji4]safi sana
Niko mwanzaAsante, upo wapi, mkoa gani?, Naweza kukutumia mimi nipo Morogoro