Nauza battery za Laptop

Mkuu hizo battery zina uwezo wa kukaa na charge kwa muda gani/masaa mangapi? Pia bei zinakuwaje?
 
Uwezo unakuwa wakawaida kama original. Ukitaka kujua uwezo wa battery yako ina tofauti gani na hii ambayo utanunua kwangu basi angali Amh yake.
Nguvu ya battery inapimwa kwa kieango kinachoitwa Amh
 
mkuu bei ya betri ya ACER ASPIRE 5517 inaendaje
 
Obkato ww ulikuwa unahitaji ya laptop gani?
 
Nahitaji betri ya samsung mini-laptop model N150 plus. Unazo, na bei gani?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Jamani kama kuna mtuu anahitaji hizo battery anijuze. Leo nipo free sanaa naweza kumpelekea stand kwa urahisi.
 
Jamani kama kuna mtuu anahitaji hizo battery anijuze. Leo nipo free sanaa naweza kumpelekea stand kwa urahisi.

Mkuu betri ya Toshiba satellite a215-s5837 bei gani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…