N ndaha JF-Expert Member Joined Jul 6, 2013 Posts 347 Reaction score 49 Feb 22, 2015 #1 Salaam wadau....nauza bata bukini jike na dume wa miezi 4 kwa laki 2 wote na Bata Mzinga dume wakubwa kabisa kwa elf 80 kila mmoja.Wako Morogoro Mjini. Contacts 0689900000.
Salaam wadau....nauza bata bukini jike na dume wa miezi 4 kwa laki 2 wote na Bata Mzinga dume wakubwa kabisa kwa elf 80 kila mmoja.Wako Morogoro Mjini. Contacts 0689900000.
A asakuta same JF-Expert Member Joined Mar 1, 2011 Posts 14,829 Reaction score 5,039 Feb 25, 2015 #2 Mwezi wa April nitahitaji vifaranga wake. Nitapa? Je watakuwa kwa bei gani?
U uswayn sule Member Joined Jun 9, 2015 Posts 9 Reaction score 1 Aug 19, 2015 #3 asakuta same said: Mwezi wa April nitahitaji vifaranga wake. Nitapa? Je watakuwa kwa bei gani? Click to expand... Nina bata bukini wakubwa, NIKO MOROGORO MJINI. 0653749790
asakuta same said: Mwezi wa April nitahitaji vifaranga wake. Nitapa? Je watakuwa kwa bei gani? Click to expand... Nina bata bukini wakubwa, NIKO MOROGORO MJINI. 0653749790
U uswayn sule Member Joined Jun 9, 2015 Posts 9 Reaction score 1 Aug 19, 2015 #4 Nauza bata bukini wakubwa wenye kutaga. NIKO MOROGORO MJINI. 0653749790
Mkulima wa Kuku JF-Expert Member Joined Jan 13, 2011 Posts 1,270 Reaction score 536 Aug 19, 2015 #5 Uswayn sule ungeweza kuanzisha uzi wako kuliko kuingilia uzi wa mwenzio.pia kwenye biashara unsema na bei
Uswayn sule ungeweza kuanzisha uzi wako kuliko kuingilia uzi wa mwenzio.pia kwenye biashara unsema na bei