Nauza bango la biashara

jembelamkono

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
2,733
Reaction score
2,016
Habari wakuu?

Nauza frem ya bati ya bango la biashara lenye kuwaka taa ndani pamoja na stendi yake. Bango lina urefu wa Mita 2 na Upana wa Cm 80 na unene wa Inch 5" yaani (2m×0.8m×5")

Kwa atakayenunua atakwenda ku print tangazo lake analolitaka then atapachika.Bango linapatikana Dar,Bei Tsh 150,000/=

Mawasiliano

Whatsapp 0621003284
Piga/Msg 0713724242



Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…