Nauza banda la biashara Kisesa, Mwanza

Mungu Mweusi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
1,474
Reaction score
1,088
Nauza Banda la Kisasa la kufanyia biashara aina yoyote(Mabati ya Grill) na kuezekwa vizuri kwa bati bado jipya. Ukubwa Mita 8 kwa 7, pia linahamishika. Liko vizuri, kwa anayehitaji pia kuna kabati za vioo 2, meza, viti 2, Simu kadhaa, accessories kadhaa, na Line ya Mpesa.

Sababu ya kuuza nimekosa msimamizi kwenye biashara Piga: 0756323094
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…