T Teamanaconda JF-Expert Member Joined Jun 21, 2013 Posts 602 Reaction score 569 Jan 4, 2014 #1 Nauza bajaji 2stroke iko safi kabisa,nauza kwa sababu nataka niongeze hela ninunue TVS,bei tsh 800,000,mawasiliano 0756666890
Nauza bajaji 2stroke iko safi kabisa,nauza kwa sababu nataka niongeze hela ninunue TVS,bei tsh 800,000,mawasiliano 0756666890
Likwanda JF-Expert Member Joined Jun 16, 2011 Posts 3,930 Reaction score 1,162 Jan 4, 2014 #2 Bajaji kwasasa ni 6.3m, sasa kwa bei hii ni sawa na bei ya scraper? Ebu weka picha na uboreshe maelezo watu waamue.
Bajaji kwasasa ni 6.3m, sasa kwa bei hii ni sawa na bei ya scraper? Ebu weka picha na uboreshe maelezo watu waamue.
S sawa JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 2,752 Reaction score 932 Jan 4, 2014 #3 dukani ni 6.1 milioni sasa wewe laki nane sijui umeiiba wapi?
TO2004 JF-Expert Member Joined Jan 11, 2013 Posts 540 Reaction score 220 Jan 4, 2014 #4 Weka picha Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
danali JF-Expert Member Joined Jan 30, 2012 Posts 1,135 Reaction score 1,675 Jan 4, 2014 #5 sawa said: dukani ni 6.1 milioni sasa wewe laki nane sijui umeiiba wapi? Click to expand... hahaha labda ameiokota mkuu!
sawa said: dukani ni 6.1 milioni sasa wewe laki nane sijui umeiiba wapi? Click to expand... hahaha labda ameiokota mkuu!