Habari wanaJF, wadau ninauza asali mbichi ya nyuki wakubwa kutoka Tabora. Imechujwa vizuri tayari kwa matumizi. Bei ni sh.12000/= kwa lita.Kwa wakazi wa Kibaha na Dar es Salaam nitawapelekea nyumbani,ofisini au jirani na maeneo yao.Kwa mawasiliano tuma pm. Karibuni sana.