Mhhhh ata kama ni nzito bado ni kimiminikaAsali inapimwa kwa kilo kutokana na uzito wake
Basi kuna haja na mafuta ya kupikia nayo yapimwe kwa kilo..Asali inapimwa kwa kilo kutokana na uzito wake
Naomba tuone package yako tafadhali. nipate kuvutiwa!!mna deliver bure
watu Wa mikoani tunapataje hiyo asaliJDM PRODUCTS ni waandaaji,watengenezaji na wauzaji wa asali halisi mbichi pure from forest ni wauzaji wa wanaoendana na soko la dunia ni asali inayopatikana misitu ya asilia SINGIDA!inapatikana kwenye ujazo wa nusu kilo 5000 na kilo moja ni 10000,karibuni sana
*nitafute kwa namba
*0626499744 na
0765107278
-mikoani pia tunatuma
View attachment 480771View attachment 480771View attachment 480771View attachment 480771
sawa kabisa... tena utafune na masega ki aina. hiyo ndo original....PURE asali ni kutoka kwenye mzinga wa nyuki
Asali haipimwi kwa lita isipokuwa kwa kiloNi nusu kilo au nusu lita?