Afike salama!kila la khair.
Kila la heri mkuuUsawa huu kwako Ila syo Kwa wengine wanayohitaji
Ova
Pamoja sana.....maana napigiwa sim na wadau wenye huitaji wa hii kitu ....tena wale wenye indoor pub au longe Ndy inawafaa zaidi
Ova
Ntauza babu mimi syo mara ya kwanza kutangaza bidhaa humu na kuuza
Ova
Nmekosoma chief!ndugu mbona umechukulia so negatively ? mi nimeongea kwa nia njema kabisa na si kuku challenge nimeona kuwa unaweza poteza wateja wako wa maana kwa kuwanyima huduma huku jf unakutana na watu ambao hawapo tayari. una vitu gani vingine tushirikiane biashara...
Horsepower 5 ndio BTU ngapi?ina horsepower power 5
Iko indoor na outdoor yake,AC ni mpya kabisa haijawahi kutumika..
Kwa mawasiliano piga simu
Bei ya kuuza ni milion 3.7
0715591141 dsm
Ova