Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,553 Reaction score 35,424 Apr 9, 2015 #1 hivi ni kweli msimu ujao wa klabu bingwa ulaya uingereza itaingiza timu tatu tu? Manake liverpool alitoka kwenye makundi, arsenal, chelsea na man city walitolewa hatua ya kumi na sita bora.
hivi ni kweli msimu ujao wa klabu bingwa ulaya uingereza itaingiza timu tatu tu? Manake liverpool alitoka kwenye makundi, arsenal, chelsea na man city walitolewa hatua ya kumi na sita bora.
A Aleyn JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 24,271 Reaction score 43,159 Apr 9, 2015 #2 Itakuwa vizuri kama wataingiza 3 ila wanaweza wakawapendelea tena kutokana na kuingiza pesa. Au huruma za mashabiki tu.
Itakuwa vizuri kama wataingiza 3 ila wanaweza wakawapendelea tena kutokana na kuingiza pesa. Au huruma za mashabiki tu.
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,553 Reaction score 35,424 Apr 9, 2015 Thread starter #3 ALEYN said: Itakuwa vizuri kama wataingiza 3 ila wanaweza wakawapendelea tena kutokana na kuingiza pesa. Au huruma za mashabiki tu. Click to expand... ngoja tusikilizie
ALEYN said: Itakuwa vizuri kama wataingiza 3 ila wanaweza wakawapendelea tena kutokana na kuingiza pesa. Au huruma za mashabiki tu. Click to expand... ngoja tusikilizie