Nauli ya Kilosa - Morogoro mjini

Pweza Boy

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2017
Posts
1,397
Reaction score
3,185
NAOMBA KUJUA NAULI YA KILOSA>>>>>MORO TOWN
 
mkuu una "TRACK" mawasiliano yangu ya simu nini?? maana naambiwa nitume 25,000 nikjua anataka kuja kwa BOMBA=DIEE
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hawa ma duu ni janja janja sana mkuu labda anataka kuacha nyumbani chochote kitu mkuu tuma usijari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰ naibiwaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Kutoka Kilosa uhindini kituoni hadi msamvu morogoro elf 5000 ,al saedy au kidinilo

[emoji767]101-03-821.M|T|C
 
sawa mkuu najua kama anaweza kulialia kitandani ataweza kulialia kwa konda natuma 5600😡😡😡😡😡😡
Haaaa haaaa haaaa umenasa kwa msagara wa kilosa
 
sawa mkuu najua kama anaweza kulialia kitandani ataweza kulialia kwa konda natuma 5600😡😡😡😡😡😡
Haaaa haaaa haaaa umenasa kwa msagara wa kilosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…