A
Karume sio mwanzo wa safari, kisheria unatakiwa kulipa nauli ya Karume kwenda M/Complex..Magali (mini bus) yanayobeba abiria kutokea Machinga complex kuelekea Chanika, yamekuwa yakipandisha nauli kiholela, ambapo nauli halisi ni 1300Tsh wao wamekua wakitoza 1900 mpaka 2000 kwani huanza kupakia abiria Karume, Wanajaza ndio wanaingia stand Machinga complex.
Hii imekua kero LATRA iliangalie hili jambo, tafsiri nauli imekuwa mtu akihitaji gari kuelekea Chanika inabidi aende Karume ambapo atalipa 1900 au 2000. Then gari ndio itapita Machinga complex kupokea abiria hivyo basi Kuna kuwa na Nauli 2 kutoka Chanika kwenda Kariakoo
LATRA hizi habari wanazo vizuri sana, maana liliwasilishwa mdaLATRA iliangalie hili jambo
Pia Karume si stendi kuu kusubiria abiria waje wapande magari ili wageuke nayo kwa nauli kubwa ilihali kuna rundo la abiria stendi kuu ya Machinga Complex wakisubiri kwa muda mrefu magari yaliyopaswa kushusha abiria muda mchache tu na kuondoka stendi ndogo ya Karume kuelekea stendi kuu ya Machinga Complex.Karume sio mwanzo wa safari, kisheria unatakiwa kulipa nauli ya Karume kwenda M/Complex..
Pia Karume si stendi kuu kusubiria abiria waje wapande magari ili wageuke nayo kwa nauli kubwa ilihali kuna rundo la abiria stendi kuu ya Machinga Complex wakisubiri kwa muda mrefu magari yaliyopaswa kushusha abiria muda mchache tu na kuondoka stendi ndogo ya Karume kuelekea stendi kuu ya Machinga Complex.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Hapa kuna mambo mengi mkuu, hii changamoto inasababishwa na wote abiria na makondakta.. kwasababu kama abiria wasingeenda pale kugeuka nayo wasingekuwa na option zaidi ya kuanzia mwanzo wa safari.
Changamoto nyingine kuna wamama, wazee, wenye watoto/ujauzito na wagonjwa ambao wanajua msuli wa gombania goli hawana, na wanajua kupata ubinadamu wa kupewa kipaumbe kwenye kupata siti hamna, wanageuka nayo.
Ubinadamu tulishatupa hasa watu tusiofahamiana nao, kila mtu anajiangalia mwenyewe.aga
Si kweli, magari ni mengi sana sema tu wewe ndiwe unashindwa kuelewa kuwa abiria husubiri weee na kukata tamaa kisha hujiongeza kwenda kupandia huko huko Karume stendi ndogo.Hapa kuna mambo mengi mkuu, hii changamoto inasababishwa na wote abiria na makondakta.. kwasababu kama abiria wasingeenda pale kugeuka nayo wasingekuwa na option zaidi ya kuanzia mwanzo wa safari.
Changamoto nyingine kuna wamama, wazee, wenye watoto/ujauzito na wagonjwa ambao wanajua msuli wa gombania goli hawana, na wanajua kupata ubinadamu wa kupewa kipaumbe kwenye kupata siti hamna, wanageuka nayo.
Ubinadamu tulishatupa hasa watu tusiofahamiana nao, kila mtu anajiangalia mwenyewe.
Dawa waanzishe utaratibu wa kupanga foleni kama wanavyofanya abiria wa Mbezi kwenda makabe au Msumi,daladala likifika mwisho abiria wote shuka wanaanza kuingia waliopo kwenye foleni kupanga ni kuchaguaHapa kuna mambo mengi mkuu, hii changamoto inasababishwa na wote abiria na makondakta.. kwasababu kama abiria wasingeenda pale kugeuka nayo wasingekuwa na option zaidi ya kuanzia mwanzo wa safari.
Changamoto nyingine kuna wamama, wazee, wenye watoto/ujauzito na wagonjwa ambao wanajua msuli wa gombania goli hawana, na wanajua kupata ubinadamu wa kupewa kipaumbe kwenye kupata siti hamna, wanageuka nayo.
Ubinadamu tulishatupa hasa watu tusiofahamiana nao, kila mtu anajiangalia mwenyewe.
Hivi sikuna yale ya mbezi chanika?,au unazunguka sanaPia Karume si stendi kuu kusubiria abiria waje wapande magari ili wageuke nayo kwa nauli kubwa ilihali kuna rundo la abiria stendi kuu ya Machinga Complex wakisubiri kwa muda mrefu magari yaliyopaswa kushusha abiria muda mchache tu na kuondoka stendi ndogo ya Karume kuelekea stendi kuu ya Machinga Complex.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Raia anayeenda Kibaha atakuwa kashafika kitambo sana ila we wa Chanika Mbezi utakuwa bado.Hivi sikuna yale ya mbezi chanika?,au unazunguka sana
Homboza- complex poleni sanaMagali (mini bus) yanayobeba abiria kutokea Machinga complex kuelekea Chanika, yamekuwa yakipandisha nauli kiholela, ambapo nauli halisi ni 1300Tsh wao wamekua wakitoza 1900 mpaka 2000 kwani huanza kupakia abiria Karume, Wanajaza ndio wanaingia stand Machinga complex.
Hii imekua kero LATRA iliangalie hili jambo, tafsiri nauli imekuwa mtu akihitaji gari kuelekea Chanika inabidi aende Karume ambapo atalipa 1900 au 2000. Then gari ndio itapita Machinga complex kupokea abiria hivyo basi Kuna kuwa na Nauli 2 kutoka Chanika kwenda Kariakoo
Si kweli, magari ni mengi sana sema tu wewe ndiwe unashindwa kuelewa kuwa abiria husubiri weee na kukata tamaa kisha hujiongeza kwenda kupandia huko huko Karume stendi ndogo.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Nenda Tabata Segerea stendi kuu tu urudi na ushuhuda hapa, pia daladala haziwezi kuwa chache muda wote.Dar hii sidhani kama kuna sehemu daladala zinatosha muda watu wanaenda na kurudi makazini(asubuhi na jioni).
Ingekuwa mengi sana kama usemavyo wasingeyasubiri mpaka kukata tamaa, supply ya huduma ingezidi uhitaji.
Ndio maana nikasema asubuhi na jioni mkuuNenda Tabata Segerea stendi kuu tu urudi na ushuhuda hapa, pia daladala haziwezi kuwa chache muda wote.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.