Kwa maTA maswali mengi yanakua yamebase kwenye kada uliyoomba, napia maswali machache yakawaida yaliyozoeleka kwenye interview mbalimbali... na wingi wa maswali unategemea namna utakavyokua unajibu.. Ila inabidi ujiandae vizuri katika kada uliyoomba... Na sio written inakua ni oral, panel ina watu kama 6 mpaka nane, ila sijajua college hiyo watakua wangapi