Umejaribu kutroubleshoot imekataa?
Jaribu hii:
-chomoa moto
-toa battery
-bonyeza power button kama unawasha kisha ishikilie hivo muda kama wa sekunde30 kisha achia
-Rudisha moto (bila battery), kisha washa computer yako.
-Ikikubali kuwaka izime, rudisha battery kisha endelea kama kawaida. ikigoma rudisha majibu.
Kuna jukwaa la science and technology, litumieni kwa ajili ya matatizo madogomadogo kama haya, ukishinddwa kabisa ndiyo unapeleka kwa "fundi".