Mji umaharibika siku hizi.
Mtu atapenda kujua kukodi kwa kazi ipi.
Na wengi siku hizi wanaka wakupe gari Driver akiwa mwenye gari.
la Sivyo nenda makampuni makubwa,ambapo lazima uweke vielelezo vyako vyoote muhim.
Huko utapewa gari bila kuulizwa kama ukitimiza masharti