kama vp mpe live mkuu...mademu kama hao mara nyingi hata wachumba hawapati!
alaa kumbe ulikuwa unamaanisha hivi....................do!; basi nitakuja baadae!
Unachoshindwa ni nini? au nawewe ulikuwa unamtega kuwa labda siku moja atakupatia mambo flan na siku zinazidi kwenda?
Wakuu hapa ofin kwetu bwana kuna dada mmoja tabia yake me inanikera sana. Kiukweli ni mchangamfu na funny ila anachoboa antabia ya kuomba sana. Tukitoka kwenda lunch mfano mkikaa anaweza kuagiza soda af hela anataka ulipe wewe (ulie kaa nae). Akikukuta dukani unaanya shoping zako anaingizia zake as if u planned na anang`ang`ania kweeli ulipe kama ukitaka kukataa.
M e binafsi nilishamnunulia vocha sio chini ya mara2 soda ka mara3 kwa style hyohyo.
Sasa jamani me nadhani boratu nimpee kavukavu kua bwana unaboa na hyo tabia.ka ni kununuliwa v2 ka hvyo co ishu lakin sio kwa njia hyo. Au........
teh teh hata mie nilidhania vingine...
Mkuu ukweli unabaki palepale kua mi sijawah hata kumtamani kwa ngono hata ningekua na nyege kiasi gan, achilia kumtaka kimapenz.