habarini wapendwa..jamani mimi naipenda sn hii gari na napenda niinunue ila tatizo siijui kiundani matatizo yake pamoja na ulaji wa mafuta.kwa wanaoifahamu naombeni ushauri pamoja na bei zake

Ipo yangu naiuza; ni Ipsum 240 ya mwaka 2004, black, 2390cc, iliingia mwaka jana july kutoka Japan, so ina mwaka mmoja tu. Fuel consumption ipo powa sana 1km/10km. Kama vip nipe hiyo 13M nikuachie huo mkoko.