specification::unataka computa yenye uwezo gani.
Specifications(vigezo) muhimu:
Speed:hii ni spidi ya kufanya kazi ya computer yako,hii ipo measure na mhz,jinsi mhz zinapokua kubwa na ndio processing spidi inakua kubwa,that means ukiclick program or file ni mda gani litatumia kufunguka:::based on speed unatapata komputa ya pentium 1 mpaka pentium 4 na sasa tuna pentium m na pentium d...mwambie akupe computer pentium 4.
Ram:hii ni memory ambayo inakuwezesha kufanya kazi(kurun program) kwenye computer kadiri ram inavyozidi kua kubwa that means unaweza kuplay music,kuandika work,kurun internet expoler,unaweza pia ukaweka timer etc chagua computer yenye ram kubwa mwambie ram iwe 1gb
3.hard disk
hard disk hii inatumika kuifadha programs file pia na docs zako mwenyewe mwambie akupe computer pentium 4 yenye ram 1gb na hard disk ya 160gb,hard disk kubwa pia inakuwezesha kua na virtual memory kubwa