Visitatanzania
Member
- Jul 25, 2012
- 29
- 2
Ngoja wazoefu waje wakupe darasa.
Kwanza kabisa kampuni yako unataka kuifungulia mkoa gani ?? Nina idea kama zako nataka tuunganishe nguvu .
Nashukuru.Bado nawangoja waje
Mmh hapo kwenye viwanja na majumba angalia tu wasije kukutoa shipa
mkuu sijui kiasi rasmi cha usajili wa kampuni kama hiyo lakini ninachojua kiasi cha kusajili kampuni it depend on kiasi cha mtaji wa kuanzishia kampuni,ila kwa kuwa hiyo ni kampuni ya udalali inamaana itakuwa na objective moja tu ya brokerage namini mtaji wake sio mkubwa na hata usajili wake utagharimu kiasi cha kawaida.
Vitu muhimu vya kuwanavyo mpaka upate usajili nafikiri try to navigate to brela website wamehainisha procedure,terms & conditions za kusajili kampuni.
kuhusu uwaminifu ilo linawezekana kama utakuwa umesajiliwa na una insurance lazima wateja wakuamini maana mtafanya kazi kimkataba au kimaandishi zaidi.
mwisho labda kama hutambui hiyo ni brokerage firm ambayo unaweza kuanza kuifanya sasa hata kama bado ujapata office as longer as upo tayari kutembea na kucheza na websites.mi naifanya locally nikiwa home naweza kukuelekeza jinsi ya kutafuta properties za kuuza.
Bado nahitaji ushauri wenu jamani
una maswali meeeeengi sasa mbona usiajiriwe kwanza kwenye kampuni haina hiyo ili uweze kujua jinsi ya kuiendesha?
Mimi nipo interested na hii business naomba nikucheki pm mkuu..kwa maelekezo zaidi..mim nimeipenda hiyo idea ya kufanya kazi virtually ingawa kutembea nako sina tatizo nako..niko njian kuweka hewani websitemkuu sijui kiasi rasmi cha usajili wa kampuni kama hiyo lakini ninachojua kiasi cha kusajili kampuni it depend on kiasi cha mtaji wa kuanzishia kampuni,ila kwa kuwa hiyo ni kampuni ya udalali inamaana itakuwa na objective moja tu ya brokerage namini mtaji wake sio mkubwa na hata usajili wake utagharimu kiasi cha kawaida.
Vitu muhimu vya kuwanavyo mpaka upate usajili nafikiri try to navigate to brela website wamehainisha procedure,terms & conditions za kusajili kampuni.
kuhusu uwaminifu ilo linawezekana kama utakuwa umesajiliwa na una insurance lazima wateja wakuamini maana mtafanya kazi kimkataba au kimaandishi zaidi.
mwisho labda kama hutambui hiyo ni brokerage firm ambayo unaweza kuanza kuifanya sasa hata kama bado ujapata office as longer as upo tayari kutembea na kucheza na websites.mi naifanya locally nikiwa home naweza kukuelekeza jinsi ya kutafuta properties za kuuza.
Wakuu,
Nichek 0747200286 or nielekeze jinsi ya kuingia inbox
Nimepata wazo la kuanzisha kampuni ya udalali hasa wa nyumba, viwanja, magari na electronics zingine.
Nahitaji kujuwa:
1. Ni shilingi ngapi zinahitajika ili kusajili kampuni ya namna hii?
2. Ni vitu gani natakiwa kuwa navyo ili niweze kupata usajili wa kampuni?
3. Moja ya kazi itakayojihusisha nayo kampuni hii ni kutafuta masoko kwa ajili ya bidhaa za wengine na kutafuta bidhaa popote zilipo duniani kwa bei nafuu kwa ajili ya anayetaka kununua bidhaa husika lakini katika kununua bidhaa hizo huko zilipo kwa bei nafuu tutahitaji kutumia pesa ya mhitaji/anayetaka kuinunua hiyo bidhaa, Je tutafanya nini mpaka mhitaji aweze kutuamini na kutoa pesa ili sisi tununue kwa niaba yake?.
Vitu ninavyoweza kumudu mpaka sasa ni:
1. Ofisi
2. Website
Pia nitahitaji wadau wengine 2 wa kushirikiana nao.
Nawasilisha