mshipa JF-Expert Member Joined Jun 16, 2015 Posts 12,401 Reaction score 23,192 Mar 8, 2020 #21 [emoji2][emoji2]hapana baki na dini yako waoaji bado wapo wengi ni suala la muda tu Ukikosa niambie miminimama said: Nataka kuwa muislam niolewe hapa unasemaje mshipa ake. Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2][emoji2]hapana baki na dini yako waoaji bado wapo wengi ni suala la muda tu Ukikosa niambie miminimama said: Nataka kuwa muislam niolewe hapa unasemaje mshipa ake. Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
miminimama JF-Expert Member Joined Aug 2, 2018 Posts 703 Reaction score 1,840 Mar 8, 2020 #22 mshipa ake nimekosa mshipa said: [emoji2][emoji2]hapana baki na dini yako waoaji bado wapo wengi ni suala la muda tu Ukikosa niambie Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand...
mshipa ake nimekosa mshipa said: [emoji2][emoji2]hapana baki na dini yako waoaji bado wapo wengi ni suala la muda tu Ukikosa niambie Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand...
miminimama JF-Expert Member Joined Aug 2, 2018 Posts 703 Reaction score 1,840 Mar 8, 2020 #23 Usinicheke rafiki Madaga said: Hahahaaa Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand...
mshipa JF-Expert Member Joined Jun 16, 2015 Posts 12,401 Reaction score 23,192 Mar 8, 2020 #24 Kuwa na subira utapata tu Au unawapa mashariti magumu sana nini? miminimama said: mshipa ake nimekosa Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa na subira utapata tu Au unawapa mashariti magumu sana nini? miminimama said: mshipa ake nimekosa Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
miminimama JF-Expert Member Joined Aug 2, 2018 Posts 703 Reaction score 1,840 Mar 8, 2020 #25 Wanataka kipochi haraka hawataki kujicomit mshipa said: Kuwa na subira utapata tu Au unawapa mashariti magumu sana nini? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand...
Wanataka kipochi haraka hawataki kujicomit mshipa said: Kuwa na subira utapata tu Au unawapa mashariti magumu sana nini? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand...
mshipa JF-Expert Member Joined Jun 16, 2015 Posts 12,401 Reaction score 23,192 Mar 8, 2020 #26 Hahaha kipochi chako unakionea huruma hutaki kitafunwe miminimama said: Wanataka kipochi haraka hawataki kujicomit Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha kipochi chako unakionea huruma hutaki kitafunwe miminimama said: Wanataka kipochi haraka hawataki kujicomit Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Is-haqqa Member Joined Dec 12, 2019 Posts 28 Reaction score 46 May 31, 2020 Thread starter #27 Mwanamke hutafutwa kwa sifa nne Kwa muongozo wa dini ya Kiislamu 1. Uzuri wake 2. Mali yake 3. Heshima ya familia au ukoo wake 4. Dini yake Na ukitaka aaliyebora zaidi, chagua mwenye dini yake.
Mwanamke hutafutwa kwa sifa nne Kwa muongozo wa dini ya Kiislamu 1. Uzuri wake 2. Mali yake 3. Heshima ya familia au ukoo wake 4. Dini yake Na ukitaka aaliyebora zaidi, chagua mwenye dini yake.