M-bongotz JF-Expert Member Joined Jan 7, 2010 Posts 1,736 Reaction score 411 Jun 28, 2019 #1 Wadau kuna wimbo nautafuta sana, ni wa zamani kiasi na bahati mbaya sijui unaitwaje lakini kuna kipande kama sio chorus ina maneno “tulia wangu mpenzi tulia, tulia nami nipate tulia...”. Mwenye huu wimbo naomba anisaidie hapa pls.
Wadau kuna wimbo nautafuta sana, ni wa zamani kiasi na bahati mbaya sijui unaitwaje lakini kuna kipande kama sio chorus ina maneno “tulia wangu mpenzi tulia, tulia nami nipate tulia...”. Mwenye huu wimbo naomba anisaidie hapa pls.