Natafuta wimbo huu wa TID

Kafiti

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
538
Reaction score
220
Habari,

Natafuta wimbo wenye maneno haya ndani yake

"Umaarufu utapita ila mapenzi yatabaki palepale cha msingi simamia..." .

Sifahamu jina la wimbo, ila sauti ya msanii ni ya TID, mwenye huu wimbo naomba au attach hapa, au jina la wimbo.
 
Nami nausubiri sana.. ni mzuri sana.
 
Link haikubali mkuu kama unao nutumie japo kwa whatsap +971526828223
 
Mtafute TID mwenyewe akupe c yupo kwa mnyamani tu hapo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…