Lord Lofa JF-Expert Member Joined Dec 26, 2011 Posts 2,525 Reaction score 2,799 Jan 17, 2015 #1 Mwenye kifaa cha wireless kinachoweza kuconect device mbili mpaka tatu kama anauza tuwasiliane
I island JF-Expert Member Joined Nov 26, 2013 Posts 1,065 Reaction score 837 Jan 17, 2015 #2 major mwendwa said: Mwenye kifaa cha wireless kinachoweza kuconect device mbili mpaka tatu kama anauza tuwasiliane Click to expand... Nenda madukani zipo.. ulizia router zipo kibao kwa bei ya kawaida elf 60 na kuendelea .. me nlikuwa nayo ya elf 60 nilikuwa naweka pc zaidi ya kumi na zina run vizuri sana
major mwendwa said: Mwenye kifaa cha wireless kinachoweza kuconect device mbili mpaka tatu kama anauza tuwasiliane Click to expand... Nenda madukani zipo.. ulizia router zipo kibao kwa bei ya kawaida elf 60 na kuendelea .. me nlikuwa nayo ya elf 60 nilikuwa naweka pc zaidi ya kumi na zina run vizuri sana
Governor of Bettors-GB JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 11,005 Reaction score 10,398 Jan 17, 2015 #3 Nilitaka kushangaa mwanaume unatafuta Wifi,kumbe ni wifi wa computer
TUMBOO JF-Expert Member Joined Jun 27, 2014 Posts 3,872 Reaction score 2,056 Jan 17, 2015 #4 Zanzibar Spices said: Nilitaka kushangaa mwanaume unatafuta Wifi,kumbe ni wifi wa computer Click to expand... Hahahaaaa jaman nmecheka sana leo
Zanzibar Spices said: Nilitaka kushangaa mwanaume unatafuta Wifi,kumbe ni wifi wa computer Click to expand... Hahahaaaa jaman nmecheka sana leo