Natafuta wi-fi router na universal modem

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,741
Reaction score
25,678
Wakubwa shikamoni,wadogo habari zenu.
Nlikuwa nina shida moja nilikuwa nauliza wapi nitapata Wi-Fi router ambayo itaniwezesha kuungalisha internet kwenye tv yangu ya Samsung Smart tv 49
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]


Kwahiyo nilikuwa nahitaji hivi vifaa vijavyoitwa Wi-Fi
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]

[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]

[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]


Naomba mnitajie Bei na mahali zinapouzwa universal modern na Wi-Fi.
Ili niweze kuunganisha internet.
Naishi Temeke,Dar Es Salaam.

First they ignore you, Then they laugh at you, Then they fight you, last you win.
 
Nnayo Universal modem ya 4G,inakubali bands zote za Tanzania, kama unahitaji niPM
 
Nnayo Universal modem ya 4G,inakubali bands zote za Tanzania, kama unahitaji niPM
weka specs zake na picha. Kama ina risiti zake, imetumika muda gani na bei.

Siku hizi mauzo uchochoroni yana u walakini
 
More info unaweza ukapata from google
 
weka specs zake na picha. Kama ina risiti zake, imetumika muda gani na bei.

Siku hizi mauzo uchochoroni yana u walakini
Model: Dlink dwm222
Condition:Haijawahi kutumika
Bei:50,000tsh
Specs: download speed max 150Mbps
upload speed max 50Mbps
Bands:LTE(800,1800,2600),3G,EDGE
Picha:
 
Model: Dlink dwm222
Condition:Haijawahi kutumika
Bei:50,000tsh
Specs: download speed max 150Mbps
upload speed max 50Mbps
Bands:LTE(800,1800,2300),3G,EDGE
Picha:
ok nitakutafuta. ila hujasema kuhusu receipt yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…