Habarini wadau kwanza nashkuru sana juzi nilipost tangazo la kuhitaji toyota ISIS nashkuru mungu nilifanikiwa kuipata gari nzuri.
Nahitaji kuchimbiwa kisima,maji ya dawasco sometimes yanasumbua,napatikana Arusha Njiro Kwa Msola mtu yeyote anaedeal na hiyo mambo au anayewajua wanaoshuhulika na kazi hiyo anisaidie tafadhali,natanguliza shukrani you can check me kwa namba 0714478797 for more infomation,nashkuru sana
Asante sn mkuu

Tupo mkuu kwa maswala yote ya maji kuanzia drilling,plumbing, water quality test hadi domestic water purification.
find us youtube.com/evigtinvestment
twitter@evigtinvestment