M mama jemima Member Joined Oct 8, 2011 Posts 15 Reaction score 1 Nov 22, 2011 #1 Habari zenu. Natafuta used photocopy machine yenye ukubwa na uwezo wa kufanya kazi, kwenye makazi ya wanachuo. Mwenye taarifa zozote na hii kitu tafadhali anipm tuwasiliane.
Habari zenu. Natafuta used photocopy machine yenye ukubwa na uwezo wa kufanya kazi, kwenye makazi ya wanachuo. Mwenye taarifa zozote na hii kitu tafadhali anipm tuwasiliane.
M MAKULUGA JF-Expert Member Joined Jan 21, 2011 Posts 8,098 Reaction score 10,934 Nov 24, 2011 #2 nina canon 1600 bei milioni 1 piga 0712133174
Z zamlock JF-Expert Member Joined Dec 25, 2010 Posts 3,840 Reaction score 660 Nov 24, 2011 #3 ok sasa wasiliana na mi mimi kwa hii pressdown@hotmail.com nikupe mtu amezileta kutoka uk atakuuzia kwa bei powa sana
ok sasa wasiliana na mi mimi kwa hii pressdown@hotmail.com nikupe mtu amezileta kutoka uk atakuuzia kwa bei powa sana
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 34,637 Reaction score 37,959 Nov 24, 2011 #4 Kama upo Dar, nenda oposite na VETA kuna watu wanauza za aina mbalimbali
M mama jemima Member Joined Oct 8, 2011 Posts 15 Reaction score 1 Nov 25, 2011 Thread starter #5 Nashukuru sana wapendwa.
ndevu mzazi JF-Expert Member Joined Nov 6, 2011 Posts 687 Reaction score 238 Nov 25, 2011 #6 piga 0713656256