Natafuta TV inch 43-49

Huyo hela unapata chogo mpya kabisa na ni Mara 100 kuliko kununua nyumba.
 
Mkuu kwa hizi bei ulizoweka kama utafanikiwa kupata TV basi jiandae kuwalaumu services provider, utasikia Azam picha zao mbaya, mara utasema picha zao sio HD kumbe tatizo lipo kwako
Aisee kumbe picha mbaya ni tv, mbona unakuta BBC na Aljazeera picha zinakuwa clear ila njoo EATV, WASAFI sijui TBC picha ni mbaya ajabu
 
Huwezi pata kwa hiyo bei rafiki yangu.
Hiyo bei nakupa SMART TV inch 32, ya ALITOP, AILYON. @350,000
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…