Habari za mchana wanajamii,,kichwa kinajieleza natafuta premio ya kununua ilio kwenye good condition kuanzia DG na kuendelea.
Rangi isiwe black.
Mwenye nayo naomba anicheki inbox