Natafuta Tender ya printing

shine9091

Member
Joined
Jun 4, 2014
Posts
24
Reaction score
3
Habari zenu wapendwa
Mimi najishungulisha na printing kama tshirt nilikuwa na tafuta tender popote pale 0659741124
Asanteni
 
Samahani wang najarb kuaad picx bt zinagoma sijajua shida nin
 
Tshirt unaprint kwa bei ya jumla kuanzia ngap? Art work na screen jumla unadizain kwa sh ngap?
 
Na print kwa 2000...art nd designing 15000 naanzia tsht 100 sorry kwakuchlew sikuw na crdt
 
Mkuu mbona unalalamika wakati hakuna swali ulilouliza au mimi sijaliona
 
Screen nayo unatengeneza kwa sh ngapi? Hiyo kuanzia 100 jaribu kuchek kidogo, je nikija na screen yang tayar na tshirt zang plain unapiga kaz?ila 100 hiyo fanya kuanzia 20 na chin ya hapo print kwa elf 5.ni ushaur tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…