habari wana jf,nimeamua kujikita katika ajira binafsi(ujasiria mali) kama kijana ili kujikwamua kimaisha hivyo naomba msaada wana jf kupata tenda ktk hotel au baa ya kuwauzia mbuzi kwa maeneo ya dsm au kibaha,tayari nimeanza biashara hii kwa baadhi ya sehem!kwa mawasiliano zaidi 0655-655540