SUZAN NYATI
Member
- Jun 10, 2016
- 35
- 12
Una mume?Samahani nilipitiwa. Niko dar
Sasa hapa biashara itafanyika ngoja nije pm,Sina mume
poti mbona hivyo jamani? yaani mwenzio anatangaza biashara yake halafu wewe unamchokoza: iiiiii bebe nang'we kumbe uli nchokozi geteUna mume?
poti mbona hivyo jamani? yaani mwenzio anatangaza biashara yake halafu wewe unamchokoza: iiiiii bebe nang'we kumbe uli nchokozi gete
hahahahahahahhhahahahhahha sawa gete hahaahahahahahahFanya Kama hujaona pot!
Sasa hapa biashara itafanyika ngoja nije pm,
"Alaf nyie ma-single father wa humu mjidai mnadandia tren kwa mbele Kama hamjafa midomo wazi"!
Hahaha umejuaje na mm nazama PM kwake hahaha.
Unaenda pm namba hujaiona au unafata mkumbo!
Jamani, nataka tu wateja