Mkuu, hapo kwenye laptop, mi nilizani dek na mixer zinatosha? nipe somo hapo, pia extenal hard disk, kazi yake nini pia bei ikoje?
Mkuu, hapo kwenye laptop, mi nilizani dek na mixer zinatosha? nipe somo hapo, pia kuna uhitaji wa kuwa na dek pamoja na laptop, au dek unapotezea unanunua external hard disk
Mkuu Hata Ukiwa Na Laptop Deck Bado Ni Muhimu Maana Laptop Inaweza Kustach,has Ikikaa Muda Mrefu Inaheat, Hivyo Utatumia Dec,na Dec Za Sasa Unaweza Pia Kuchomeka Ext Hd Usb Ukapiga Mziki Hata Kama Laptop Itabuma,laptop Nziri Kwa Mziki Ni Apple
Mkuu kuna ile kitu huwa ni nzito kabisa nazani ina kilo 10 au 15, kwenye stand ya mziki huwa inakuwa ya kwanza chini,wengine huiita amplifire ile ndo booster?
Hiyo Ni Booster Mkuu, Nayo Ni Amplifier,ila Mfumo Wake Ni Tofauti Na Amp Za Kawaida Kama St Au Mono,hizo Ni High Power Yaani Inafua Watts Mpaka 7000
Pia kuhusu cd hapa ni kuchoma au kununua og kabisa?
Nashukuru sana mkuu, hapa nimejaa material kichwani nikiingia dukani nikuagiza tu utafikiri nina mziki mwingine tayari, poa mkuu
Majiko ndio turntables?, au consoles?Ongeza mic, chagua wireless mic, je huo mzik ni wa aina gan wa ngaz? Wenye full setup kama dek mbil mixer na majiko mawil yale kama ya dj?
Kuna kinu.kipya cha opra wametoa ni balaaaaa! Hicho funga kaziMkuuu mimi kama mim nimekuelewa vema kwani hata mimi naitaji nianzishe mziki wangu