K Kobazi JF-Expert Member Joined Apr 13, 2015 Posts 861 Reaction score 1,245 Aug 15, 2016 #1 salaam wana jamvi. natangulza samahan mimi ni mkulima ambaye huwa nachanisha mbao miti migumu. . sasa nilikua nahtaji soko kwa maelezo kuhusu aina ya mbao na bei . .naomba uni PM nikupe namba yangu kwa mawasiliano
salaam wana jamvi. natangulza samahan mimi ni mkulima ambaye huwa nachanisha mbao miti migumu. . sasa nilikua nahtaji soko kwa maelezo kuhusu aina ya mbao na bei . .naomba uni PM nikupe namba yangu kwa mawasiliano
Nkobe JF-Expert Member Joined Feb 17, 2013 Posts 2,230 Reaction score 3,332 Aug 16, 2016 #2 Samahani ya nini? Acha uoga
K Kobazi JF-Expert Member Joined Apr 13, 2015 Posts 861 Reaction score 1,245 Aug 16, 2016 Thread starter #3 Nkobe said: Samahani ya nini? Acha uoga Click to expand... hahahahahaha. . nimekupata sitorudia tena