D Don 01 Member Joined Feb 23, 2017 Posts 27 Reaction score 24 Nov 16, 2017 #1 Habari zenu wana janvi.., kwa mwenye kuhitaji ulezi tuwasiliane maana nina tani saba. Karibuni sana
swahiba Senior JF-Expert Member Joined Nov 12, 2016 Posts 2,478 Reaction score 3,630 Nov 16, 2017 #2 kuwa serious basi tuwasiliane kwa njia gani?? Toa maelezo mkuu
Inamonga JF-Expert Member Joined Jun 25, 2016 Posts 779 Reaction score 476 Jan 2, 2018 #3 Don 01 said: Habari zenu wana janvi.., kwa mwenye kuhitaji ulezi tuwasiliane maana nina tani saba. Karibuni sana Click to expand... Vipi ulisha pata soko la ulezi..?
Don 01 said: Habari zenu wana janvi.., kwa mwenye kuhitaji ulezi tuwasiliane maana nina tani saba. Karibuni sana Click to expand... Vipi ulisha pata soko la ulezi..?
Kinga kingdom JF-Expert Member Joined Jan 11, 2017 Posts 769 Reaction score 847 Jan 3, 2018 #4 Don 01 said: Habari zenu wana janvi.., kwa mwenye kuhitaji ulezi tuwasiliane maana nina tani saba. Karibuni sana Click to expand... Hivi Hujui hata kuweka eneo ulipo na no ya simu? Mie nahitaji ulezi but tangazo lako linaonyesha Haupo serious au biashara sio yako Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
Don 01 said: Habari zenu wana janvi.., kwa mwenye kuhitaji ulezi tuwasiliane maana nina tani saba. Karibuni sana Click to expand... Hivi Hujui hata kuweka eneo ulipo na no ya simu? Mie nahitaji ulezi but tangazo lako linaonyesha Haupo serious au biashara sio yako Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
D dej Member Joined Oct 8, 2016 Posts 64 Reaction score 158 Sep 21, 2021 #5 habari wadau, nina tani 2 za ulezi, mbeya, 0758981728 natafuta soko.