Jitahidi Uongeze elf 25, kisha nenda kwenye duka lolote la Tigo utapata smart phone safi kabisa na mpya inaitwa Huawei.....Inauzwa 175,000. Inatumia Android 2.3 OS, Ni touch screen na inafanya kila kitu simu nyingine zinaweza.

Uko nao muda gani? Hongera.
NB: Battery yake haikai sana, ila Download app killer yeyote itasaidi. Mi natumia Easy Battery Saver (Intelligent Mode) Inanisave sana.

Toka 2004 nafikiri.
Ni simu poa sana kwa kweli, Sijui kwanin inauzwa bei ndogo hivi. Sijajua kama kwenye maduka mengine ambayo siyo ya tigo hence ikakubali na laini zingine bei itakua ni hii hii!!

Dah, Umejitahidi kwa kweli, miaka 9 sio mchezo. Inauzwa bei ndogo kwasababu ya Brand (Huawei). Ni Jina Dogo sana kwenye soko, huwezi fananisha na Samsung, HTC, iPhone nk... Lakini kwakweli Nimeshaona Simu za Huawei nzuri sana na Durable...
Kingine inaweza kuwa kwasababu haikubali simcard nyingine zaidi ya Tigo.