Akipatikana single mama anayeishi Kigamboni nipasie mkuu.
Tunahitaji kutunza watoto, maana nikiangalia nyumba ambazo baba hayupo kuna kitu kinapungua kwa malezi ya watoto.
Acha nijitolee kusaidia mtoto walau mmoja akue akiwa anamuona father figure hata kama ni mara tatu kwa wiki.