Natafuta shule ya kujitolea kufundisha Commerce & B/keeping

ungejaribu kwenda shule za kata, hata iliyopo karibuni na kata yenu, swala si ni kujitolea.
 
Mimi ni muhitimu wa bachelor of business administration in accounting with Education...
tuwasiliane EABMTI imefungua kituo cha Mafunzo ya masomo ya Biashara Tegeta Masaiti, pia tunatoa mafunzo ya ATe na procurment Basic na foundaiton levels, na mafunzo ya ECA kwa form five. Uandikishaji unaendelea tuwasiliane, tutakua na orientation kwa walimu next week. piga simu kwa mhusika 0622 390 856
 
asante sana kaka ntakupigia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…