Tatizo kubwa la vijana wa Tanzania hii katika ulingo wa biashara ni uwezo wa kujieleza,
Uandishi huu ni sehemu ya business appearance yako,
Biashara ina silika ya lugha moja tu duniani, hata utumie kichina, kijerumani, kiingereza, kiswahili nk bado lugha ya biashara huwa moja, ni sawa na lugha ya soka duniani!
Mimi nimekuelewa ulichomaanisha na ninakutakia kilala heri,
Lakini ninakushauri ndugu yangu kama unataka kuwa mfanyabiashara halisi na halali nchini hapa ni bora ujifunze lugha,
Tumia kiswahili fasaha au tumia kiingereza fasaha kama unamatatizo ya kiswahili,
Sio tabia njema kibiasha kujieleza kwakuchanganya lugha tena kihuni hivi!