xpin de rexas
Member
- Feb 3, 2013
- 26
- 2
Mimi nmechaguliwa IFM computer science natafuta room mate ambaye nae hataki kukaa hostel tupange pamoja at kigamboni au mahali karbu na chuo.my budget is 100000 so tutachangia 50000 @.kama uko teyari chek me.only men caz am man.chek me whats app 0713922431.sipendi kukaa hostel tht y.
Yah tarehe 9 bt nataka nipange mapema ili nsipate shida ya kutafuta room,maandalizi muhimu
Mimi nmechaguliwa IFM computer science natafuta room mate ambaye nae hataki kukaa hostel tupange pamoja at kigamboni au mahali karbu na chuo.my budget is 100000 so tutachangia 50000 @.kama uko teyari chek me.only men caz am man.chek me whats app 0713922431.sipendi kukaa hostel tht y.
Sisi mwaka wa Kwanza c lazima tukae hostel mkuu
nendeni mkachezee supp...mkileta utoz tu safari itaishia njiani
haya mkuu karibu sana IFM ila niwe mkweli na muwazi chuo hiki ni kigumu mnooo mzee kama unataka kufikisha malengo yako ukija ufanye kilichokuleta pale pia swala la hostel ni kweli mwaka wa kwanza huwa wanapewa priority kubwa na pia sio wote wanapata kupanga kigamboni ni uamuzi sahii pia...all da best..
bila kumasahau kibacha mkuuVijana niwapongeze tu kwa kuchaguliwa kujiunga IFM, mtakutana na stori za "Abscond nd disco" sana! Kiukweli kama ucpofanya Kilichokuleta sem ya kwanza tu unakula vichwa vyako vi4 then tunakupa mkono wa kwaheri....nisalimie Abdulfattah na Igakinga
bila kumasahau kibacha mkuu