I iddhassan Senior Member Joined Jul 26, 2016 Posts 100 Reaction score 134 Jun 23, 2020 #1 Prado ya dizeli.offa 10m.Haria...ofa 7m.call 0754 279035
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 45,308 Reaction score 134,425 Jun 23, 2020 #2 Aisee hebu uning'ate sikio kidogo kuhusu sifa za hizi prado za diesel kama una uzoefu nazo. Maana na mimi kuna sehemu naifukuzia gari ya aina hiyo na ni manual ingawa namba yake ya usajili inaanzia na A.
Aisee hebu uning'ate sikio kidogo kuhusu sifa za hizi prado za diesel kama una uzoefu nazo. Maana na mimi kuna sehemu naifukuzia gari ya aina hiyo na ni manual ingawa namba yake ya usajili inaanzia na A.