IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,733
- 7,074
asubiri kutumbuliwa mana hakuna namna ni jipu iloDogo langu linakaribia kupiga Necta form six kwanza lilikua halisomi toka lingiie form five linawaza for madem sasa sitaki afeli maana akifeli tu gharama zote za kuhangaika naye zitakuwa zangu at whatever cost mwenye possible anipe aesee najua ndalichako kabana lakini mbele ya pesa hakuna lisilowezekana plzzz guyz combination ni pcb
Hili jipu litumbue kabla Ndaliyour hajalitumbuaDogo langu linakaribia kupiga Necta form six kwanza lilikua halisomi toka lingiie form five linawaza for madem sasa sitaki afeli maana akifeli tu gharama zote za kuhangaika naye zitakuwa zangu at whatever cost mwenye possible anipe aesee najua ndalichako kabana lakini mbele ya pesa hakuna lisilowezekana plzzz guyz combination ni pcb