N naz New Member Joined May 29, 2009 Posts 4 Reaction score 0 Sep 23, 2014 #1 Nyumba ya chumba kimoja, sebule, choo, jiko viwe ndani. Iwe na tiles, iwe na uzio na parking, maji 24hrs na umeme eneo la Mikocheni, kijitonyama, sinza au mwenge. Tshs 150,000-250,000 PM
Nyumba ya chumba kimoja, sebule, choo, jiko viwe ndani. Iwe na tiles, iwe na uzio na parking, maji 24hrs na umeme eneo la Mikocheni, kijitonyama, sinza au mwenge. Tshs 150,000-250,000 PM