vicent tibaijuka JF-Expert Member Joined Mar 22, 2012 Posts 268 Reaction score 59 Jul 29, 2013 #1 Habari zenu wana JF, natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya mbezi beach, kijitonyama, mwenge na kwingineko kwenye usafiri mzuri. iwe ya vyumba 2-3, iwe ndani ya gate. unaweza nsms 0717 42 11 96. shukrani.NB: kuhusu bei tutaelewana katika simu.
Habari zenu wana JF, natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya mbezi beach, kijitonyama, mwenge na kwingineko kwenye usafiri mzuri. iwe ya vyumba 2-3, iwe ndani ya gate. unaweza nsms 0717 42 11 96. shukrani.NB: kuhusu bei tutaelewana katika simu.