Natafuta nyumba inayojitegemea au compound yenye nyumba chache, vyumba 2 ,kimoja masters, jiko safi, sebure na vinginevyo...maeneo changanyikeni,mwenge, kijitonyama, kurasini, kigamboni au chang'ombe.
kwa bahati mbaya inaonekana kinyerezi hupajui naomba jaribu kuuliza watu wanaopajua ili upate kujua ni sehemu ya namna gani, maana nimeona umetaja kigamboni sasa ukilinganisha na kinyerezi siku ukijua pakoje wewe utashangaa sana.